Ufafanuzi wa bustani katika Kiswahili

bustani

nomino

  • 1

    kiunga cha kupandia miti ya maua, matunda au mboga.

  • 2

    mahali pa kupumzika palipopandwa miti au maua.

Asili

Kar

Matamshi

bustani

/bustani/