Ufafanuzi wa butua katika Kiswahili

butua

kitenzi elekezi

  • 1

    kata ncha au haribu makali ya kitu.

Matamshi

butua

/butuwa/