Ufafanuzi wa buu katika Kiswahili

buu

nominoPlural mabuu

  • 1

    funza anayeonekana katika uchafu au vitu vilivyooza, mara nyingi huwa ni kiluwiluwi cha nzi.

    bombwe, funza, tekenya

Matamshi

buu

/bu:/