Ufafanuzi wa buuwambe katika Kiswahili

buuwambe

nomino

  • 1

    mdudu asababishaye vipele au ukurutu.

Matamshi

buuwambe

/bu:wambÉ›/