Ufafanuzi wa buyu katika Kiswahili

buyu

nominoPlural mabuyu

  • 1

    tunda la mbuyu.

  • 2

    bufuu la buyu litumiwalo kwa kunywea maji, n.k..

Matamshi

buyu

/buju/