Ufafanuzi wa bwagaza katika Kiswahili

bwagaza

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kaa mahali popote hata kama pachafu.

Matamshi

bwagaza

/bwagaza/