Ufafanuzi wa bwakia katika Kiswahili

bwakia

kitenzi elekezi

  • 1

    tia chakula mdomoni upesiupesi.

    bugia, akia

Matamshi

bwakia

/bwakija/