Ufafanuzi wa bwakua katika Kiswahili

bwakua

kitenzi elekezi

  • 1

    nyang’anya mtu kitu mkononi kwa ghafla.

    nyang’anya, bakua, pokonya

Matamshi

bwakua

/bwakuwa/