Ufafanuzi wa bwambwa katika Kiswahili

bwambwa

nominoPlural mabwambwa

  • 1

    kitu kilichoharibika ambacho bado kinafaa kutumika kidogo.

  • 2

    chombo kibovu.

Matamshi

bwambwa

/bwambwa/