Ufafanuzi wa bwanashamba katika Kiswahili

bwanashamba

nomino

  • 1

    mtaalamu mwanamume wa kilimo cha kisasa ambaye hutoa ushauri kwa wakulima ili waboreshe uzalishaji.

Matamshi

bwanashamba

/bwana∫amba/