Ufafanuzi msingi wa bwata katika Kiswahili

: bwata1bwata2

bwata1

kitenzi elekezi

 • 1

  sema upuuzi.

  payapaya, boboka, bwabwaja, ropoka, rereja, payuka

Matamshi

bwata

/bwata/

Ufafanuzi msingi wa bwata katika Kiswahili

: bwata1bwata2

bwata2

kitenzi elekezi

 • 1

  angusha chini na kuvunja.

  ‘Bwata kikombe’
  bwaga, angusha

Matamshi

bwata

/bwata/