Ufafanuzi wa bwawa katika Kiswahili

bwawa

nominoPlural mabwawa

  • 1

    mkusanyiko mkubwa wa maji mengi ambao ni mdogo kuliko ziwa.

    ‘Bwawa la kuogelea’
    ‘Bwawa la samaki’

Matamshi

bwawa

/bwawa/