Ufafanuzi wa bwelasuti katika Kiswahili

bwelasuti

nominoPlural mabwelasuti

  • 1

    vazi linalovaliwa juu ya nguo za kawaida kukinga uchafu wakati wa kufanya kazi.

    ovaroli, surupwenye

Asili

Kng

Matamshi

bwelasuti

/bwɛlasuti/