Ufafanuzi wa bweni katika Kiswahili

bweni

nominoPlural mabweni

  • 1

    nyumba ambamo wanafunzi hulala katika shule au chuo.

    hosteli

Matamshi

bweni

/bwɛni/