Ufafanuzi wa bwete katika Kiswahili

bwete

kivumishi

  • 1

    -liolegea kwa uvivu.

Matamshi

bwete

/bwɛtɛ/