Ufafanuzi wa bwikia katika Kiswahili

bwikia

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha

  • 1

    ingiwa na utamu wa kitu au jambo; pendezwa sana na kitu.

Matamshi

bwikia

/bwikija/