Ufafanuzi msingi wa cha katika Kiswahili

: cha1cha2

cha1

kitenzi elekezi~elea, ~ewa, ~wa

 • 1

  hofu, ogopa, agh. Mwenyezi Mungu.

  ‘Kumcha Mwenyezi Mungu ogopa kwenda kinyume na amri ya Mwenyezi Mungu’
  methali ‘Kucha Mungu si kilemba cheupe’
  methali ‘Mcha Mungu si mtovu’
  methali ‘Mcha mwana kulia hulia yeye’
  methali ‘Ukicha kusemwa hutatenda jambo’
  abudu

Ufafanuzi msingi wa cha katika Kiswahili

: cha1cha2

cha2

kitenzi sielekezi~elea, ~ewa, ~wa

 • 1

  kuchomoza kwa jua.

  ‘Kumekucha’
  methali ‘Hauchi hauchi! Unakucha’
  pambazuka

Matamshi

cha

/t∫a/