Ufafanuzi wa cha-cha-cha katika Kiswahili

cha-cha-cha

nominoPlural cha-cha-cha

  • 1

    mtindo wa dansi ambapo wachezaji huenda mbele na nyuma kwa hatua za harakaharaka.

Matamshi

cha-cha-cha

/t∫a t∫a t∫a/