Ufafanuzi msingi wa chaa katika Kiswahili

: chaa1chaa2chaa3chaa4

chaa1

nomino

 • 1

  kikundi cha watu walimao pamoja.

  kikosi

Matamshi

chaa

/t∫a:/

Ufafanuzi msingi wa chaa katika Kiswahili

: chaa1chaa2chaa3chaa4

chaa2

nomino

 • 1

  namna mojawapo ya samaki wa baharini.

Matamshi

chaa

/t∫a:/

Ufafanuzi msingi wa chaa katika Kiswahili

: chaa1chaa2chaa3chaa4

chaa3

nomino

 • 1

  zizi au boma la ng’ombe.

  zeriba

Matamshi

chaa

/t∫a:/

Ufafanuzi msingi wa chaa katika Kiswahili

: chaa1chaa2chaa3chaa4

chaa4

nomino

 • 1

  bustani ya miche.

Matamshi

chaa

/t∫a:/