Ufafanuzi wa chabanga katika Kiswahili

chabanga

kitenzi elekezi

  • 1

    shinda mpinzani katika mchezo wa mpira.

    ‘Timu yetu imeichabanga timu ya jirani mabao sita kwa moja’

Matamshi

chabanga

/t∫abanga/