Ufafanuzi wa chachaga katika Kiswahili

chachaga

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    fua nguo kwa kuzipigapiga taratibu bila ya kutumia nguvu sana, hasa kwa nguo nyepesi.

  • 2

    chanyata

Matamshi

chachaga

/t∫at∫aga/