Ufafanuzi msingi wa chache katika Kiswahili

: chache1chache2

chache1

nominoPlural chache

  • 1

    samaki wa baharini mwenye nyama nyekundu.

Matamshi

chache

/t∫at∫ɛ/

Ufafanuzi msingi wa chache katika Kiswahili

: chache1chache2

chache2

kielezi

  • 1

    kwa nadra; kwa kutukia mara mojamoja.

Matamshi

chache

/t∫at∫ɛ/