Ufafanuzi wa chafuka katika Kiswahili

chafuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  fanyia tabu.

  ‘Chafuka tumbo’
  uma

 • 2

  kuwa na mawimbi makali baharini.

  ‘Bahari imechafuka’

Matamshi

chafuka

/t∫afuka/