Ufafanuzi wa chaga katika Kiswahili

chaga

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~iza

 • 1

  fanya kazi au kitendo mara kwa mara; kazania kitu.

  charuka, chacha, chachawa

 • 2

  endelea kwa muda mrefu.

  ‘Ngoma zimechaga’

 • 3

  fanya mazoea.

 • 4

  ingia kwa nguvu.

  enea

Matamshi

chaga

/t∫aga/