Ufafanuzi wa chagiza katika Kiswahili

chagiza

kitenzi elekezi

  • 1

    sumbua mtu kwa kumhoji sana.

    charua, chokoza, heza

Matamshi

chagiza

/t∫agiza/