Ufafanuzi msingi wa chaka katika Kiswahili

: chaka1chaka2

chaka1

nomino

  • 1

    mahali penye miti iliyosongamana.

Matamshi

chaka

/t∫aka/

Ufafanuzi msingi wa chaka katika Kiswahili

: chaka1chaka2

chaka2

nomino

  • 1

    msimu wa jua kali, agh. hujulikana kama msimu wa kaskazi.

Matamshi

chaka

/t∫aka/