Ufafanuzi wa chakaa katika Kiswahili

chakaa

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa kuukuu.

    fukaa, zeeka

  • 2

    ishiwa nguvu na manufaa kwa watu na vitu.

Matamshi

chakaa

/t∫aka:/