Ufafanuzi wa chakaazi katika Kiswahili

chakaazi

nominoPlural machakaazi

  • 1

    mti mrefu upatao kama mita kumi hivi wenye matawi mengi na maua madogo ya manjano, hutumika kwa dawa.

Matamshi

chakaazi

/t∫aka:zi/