Ufafanuzi wa chakachua katika Kiswahili

chakachua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    punguza mafuta katika tangi la gari na kuyauza kimagendo.

  • 2

    changanya k.m. mafuta ya taa na dizeli kwa njia ya magendo.

Matamshi

chakachua

/t∫akat∫uwa/