Ufafanuzi wa chakaza katika Kiswahili

chakaza

kitenzi elekezi

  • 1

    shinda mpinzani vibaya sana, agh. katika michezo.

    ‘Timu ya Simba imeichakaza Lipuli’

  • 2

    fanya kuwa zee.

Matamshi

chakaza

/t∫akaza/