Ufafanuzi wa chakubimbi katika Kiswahili

chakubimbi

nomino

  • 1

    mtu anayependa kutafuta na kusemasema maneno ya watu, hasa ya uongo.

Matamshi

chakubimbi

/tâˆĞakubimbi/