Ufafanuzi wa chambele katika Kiswahili

chambele

nominoPlural vyambele

  • 1

    fedha au kitu kinachotolewa kama kishikio au kitangulizi cha kununua kitu fulani, ambapo malipo kamili hukamilishwa baadaye.

    advansi

Matamshi

chambele

/t∫ambɛlɛ/