Ufafanuzi wa chambilecho katika Kiswahili

chambilecho

kielezi

  • 1

    kile kinachodaiwa kusemwa na mtu fulani.

    ‘Lakini wengi wao, chambilecho Mwalimu Nyerere, walikuwa ‘Wazungu weusi’’

Matamshi

chambilecho

/t∫ambilɛt∫ɔ/