Ufafanuzi wa chambochambo katika Kiswahili

chambochambo

nomino

  • 1

    sehemu ya mwisho wa kitu.

    ukingo, ubigoubigo

Matamshi

chambochambo

/t∫ambɔt∫ambɔ/