Ufafanuzi wa chamko katika Kiswahili

chamko

nomino

  • 1

    utokeaji tena wa ugonjwa kama homa.

  • 2

    ueneaji wa kitu.

Matamshi

chamko

/t∫amkɔ/