Ufafanuzi wa championi katika Kiswahili

championi

nominoPlural machampioni

  • 1

    bingwa, agh. wa michezo.

    mshindi

Asili

Kng

Matamshi

championi

/t∫ampijɔni/