Ufafanuzi wa chandarua katika Kiswahili

chandarua

nominoPlural vyandarua

  • 1

    kitambaa cha wavu kinachotundikwa kitandani ili kumkinga mtu asiumwe na mbu anapolala.

  • 2

    kitambaa kizito k.v. turubai kinachotumika kufunikia mizigo katika gari.

Asili

Khi

Matamshi

chandarua

/t∫andaruwa/