Ufafanuzi msingi wa chando katika Kiswahili

: chando1chando2

chando1

nominoPlural vyando

  • 1

    moja ya ngoma kama tarazia ambayo huchezwa na wanaume na wanawake pamoja, na hupeana chambi.

Asili

Khi

Matamshi

chando

/t∫andɔ/

Ufafanuzi msingi wa chando katika Kiswahili

: chando1chando2

chando2

nominoPlural vyando

  • 1

    mtoto anayetahiriwa kwanza wakati rika liendapo jandoni.

    kiranja

Matamshi

chando

/t∫andɔ/