Ufafanuzi msingi wa changamano katika Kiswahili

: changamano1changamano2

changamano1

nominoPlural machangamano

 • 1

 • 2

  ushirikiano au uelewano wa watu katika jamii.

  tangamano, ushirikiano, uelewano

 • 3

  ujirani na; kupakana na.

Matamshi

changamano

/t∫angamanɔ/

Ufafanuzi msingi wa changamano katika Kiswahili

: changamano1changamano2

changamano2

kivumishi

Sarufi
 • 1

  Sarufi
  -a muungano wa kishazi huru na kishazi tegemezi.

  ‘Sentensi changamano’

Matamshi

changamano

/t∫angamanɔ/