Ufafanuzi wa changamka katika Kiswahili

changamka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa katika hali ya furaha baada ya tabu au hatari; kuwa katika hali ya ukunjufu; kuwa katika hali ya kuchekacheka.

    furahi, chanjamaa, terema, furuka, amka

Matamshi

changamka

/t∫angamka/