Ufafanuzi msingi wa changamoto katika Kiswahili

: changamoto1changamoto2

changamoto1

nominoPlural changamoto

 • 1

  kitu, hali au jambo linalotia ari.

 • 2

  hamu ya kufanya kitu.

  hamasa

Matamshi

changamoto

/t∫angamɔtɔ/

Ufafanuzi msingi wa changamoto katika Kiswahili

: changamoto1changamoto2

changamoto2

nominoPlural changamoto

 • 1

  hali au jambo linalomweka mtu katika njiapanda.

  njiapanda, mtihani

 • 2

  toa changamoto.

Matamshi

changamoto

/t∫angamɔtɔ/