Ufafanuzi wa changudoa katika Kiswahili

changudoa

nomino

  • 1

    mwanamke anayejiuza kwa wanaume kwa ajili ya kupata fedha.

    ‘Machangudoa wamepigwa marufuku’
    dadapoa, kahaba, malaya, kisabaluu

Matamshi

changudoa

/t∫angudɔwa/