Ufafanuzi msingi wa chanua katika Kiswahili

: chanua1chanua2

chanua1

kitenzi elekezi

  • 1

    fumua kilichochanwa.

Matamshi

chanua

/t∫anuwa/

Ufafanuzi msingi wa chanua katika Kiswahili

: chanua1chanua2

chanua2

kitenzi elekezi

  • 1

    fumbuka kwa maua.

    papatua

Matamshi

chanua

/t∫anuwa/