Ufafanuzi msingi wa chanyatia katika Kiswahili

: chanyatia1chanyatia2

chanyatia1

nomino

  • 1

    samaki mdogo anayeishi kwenye mabwawa ya mikandaa au mikoko.

Matamshi

chanyatia

/t∫aɲatija/

Ufafanuzi msingi wa chanyatia katika Kiswahili

: chanyatia1chanyatia2

chanyatia2

kitenzi sielekezi

  • 1

    enda kwa kuchuchumia; rukaruka kwa ncha za vidole vya miguu; enda kwa maringo.

    nyapa, nyemelea

Matamshi

chanyatia

/t∫aɲatija/