Ufafanuzi msingi wa chao katika Kiswahili

: chao1chao2

chao1

nominoPlural vyao

  • 1

    kitu kama gogo kinachotumiwa kuvutia dau majini.

    mwao

Matamshi

chao

/t∫aɔ/

Ufafanuzi msingi wa chao katika Kiswahili

: chao1chao2

chao2

nominoPlural vyao

  • 1

    sehemu wazi juu ya shimo la mmea ya kuingizia mbolea na maji.

Matamshi

chao

/t∫aɔ/