Ufafanuzi wa chapachapa katika Kiswahili

chapachapa, chepechepe

kivumishi

  • 1

    -enye maji mengi.

    ‘Lowa chapachapa’

Matamshi

chapachapa

/t∫apat∫apa/