Ufafanuzi wa chapua katika Kiswahili

chapua

kitenzi elekezi

  • 1

    ongeza mlio wa ngoma kwa kupiga upesiupesi.

  • 2

    fanya haraka.

    kaza