Definition of chapukia in Swahili

chapukia

intransitive verb

  • 1

    kolea kwa viungo barabara; kuwa na ladha nzuri.

  • 2

    furahia au shangilia mtu.

  • 3

    furahishwa na mwanamke au na mwanamume wakati wa ngono.

Pronunciation

chapukia

/t∫apukija/