Ufafanuzi wa chapuza katika Kiswahili

chapuza

kitenzi elekezi

  • 1

    ongeza mwendo au juhudi ya kazi.

Matamshi

chapuza

/t∫apuza/