Ufafanuzi wa charaza katika Kiswahili

charaza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    piga kwa mfululizo ngoma, kinanda au fimbo.

  • 2

    tenda jambo lolote bila ya kupumzika na kwa ufundi.

  • 3

    sema kwa mfululizo.

Matamshi

charaza

/t∫araza/